Mtahiniwa national form IV 2009 afa kwa ajali barabarani.

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Mtoto wa afisa usalama wa taifa aishiye Mikumi Morogoro aliyekuwa akiendelea na mtihani wa kumaliza kidato cha nne unaoendelea kwa nchi nzima,amegongwa na gari wakati akiendesha pikipiki leo muda wa saa 11 jioni na kufa pale pale.
Kwa habari zaidi muulizeni kamanda wa jeshi la polisi Morogoro ndg Andengenye.
 
Jamaaaani nawapa pole wazazi wake I can imagine inauma saaaana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom