[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kinachofanya chai iitwe chai ni nini?Mmmhhh! hiyo itakuwa maji ya moto, chai hiyo siitaki mimi ipeleke kwingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HAaha ili iweje?Hivi mkorogo haukorogi na kwenye ubongo kweli?
Sukari, [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kinachofanya chai iitwe chai ni nini?
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakula ujue utanifanya nitapike
Says who? Chai ni majaniSukari, [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]........... Kumbe ndo maana hupati mume![emoji1][emoji1][emoji1]Umeitoa wapi mikono yangu?
we unatapika...????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakula ujue utanifanya nitapike
Nimesikia mnapenda rangi ya mtume[emoji23] [emoji23] [emoji23]........... Kumbe ndo maana hupati mume![emoji1][emoji1][emoji1]
Basi yakoroge tu then unywe! [emoji23] [emoji23]
Hhahhaha huo uso kama kiazi chekundewe unatapika...????
mbona huyu mwenzio anakula kiroho safi tu
na hana noma yoyote
View attachment 511060
Bora umekuja! mvizie tena akilala this time mpige magotini [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]........... Kumbe ndo maana hupati mume![emoji1][emoji1][emoji1]
We jichekeshe tu, ila nakusubiria pmhahahaha
kule sijiWe jichekeshe tu, ila nakusubiria pm
Nawe pia mkuu hukunielewa,hiyo picha inafananisha mikono ya mtu na ndizi ila imechukuliwa kawaida tu na ndipo nikauliza mfano tungeweka picha ya mtu mweusi na tukaonganisha na picha ya tairi la gari je,unafikiri hali ingekuaje humu?Now umekuja kwenye point! then angalia tena hiyo picha utaelewa maaana yangu
unajipaka mafuta gani chikYaani kucha zina sura sawa sawa na ndizi choma!!!!
Nakutumia watekaji shauri yako.kule siji
baby care, family care,unajipaka mafuta gani chik
waje na helaNakutumia watekaji shauri yako.