johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
- Thread starter
-
- #21
hahahhaha najua mganga hajigangi,mikono mizuri
wala si kosa langu, kuna mtu kakusaliti kanitumia hii pichaUmeitoa wapi mikono yangu?
ha hahahhahahhaha najua mganga hajigangi,
Nitamkamata tuwala si kosa langu, kuna mtu kakusaliti kanitumia hii picha
otee mbeningependa nione hata kakucha kako πππ
hadi uje umpate sio leo, na wala simtaji, πππNitamkamata tu
hahahahahaha, hasa ukiwa unashika bakuli la mbegeπππotee mbe
Naweza kukufanya umtaje ni vile sijaamua tu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji4] [emoji4]hadi uje umpate sio leo, na wala simtaji, πππ
teh teh teh teh, unaijua mikate ya yesu? migumuuuu ukiikata inalia kaahh. ππNaweza kukufanya umtaje ni vile sijaamua tu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji4] [emoji4]
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] mbembwe tu hizo ikitiwa kwenye chai inageuka ujiteh teh teh teh, unaijua mikate ya yesu? migumuuuu ukiikata inalia kaahh. ππ
teh teh teh acha niisubirie maana si kwa kuisifia huko, πππ ya tangawizi au ya mchai chai?[emoji23] [emoji23] mbembwe tu hizo ikitiwa kwenye chai inageuka uji
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Umejuaje mie sijaelewa topic kwa kuuliza hivyo nilivyouliza?nadhani hujaelewa topic iliyopo ubaoni mkuu, pitia tena na pia ni ruksa kuandikia uzi hayo matairi yako
[emoji23] [emoji23] chai ni chai tu hata sukari ikiwa haijakolea bado inaitwa chai tuteh teh teh acha niisubirie maana si kwa kuisifia huko, πππ ya tangawizi au ya mchai chai?
Now umekuja kwenye point! then angalia tena hiyo picha utaelewa maaana yanguLaiti kweli watu weusi tungekuwa tunajivunia weusi basi hata haya malamiko ya ubaguzi yangepunguwa.
Mmmhhh! hiyo itakuwa maji ya moto, chai hiyo siitaki mimi ipeleke kwingine [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] chai ni chai tu hata sukari ikiwa haijakolea bado inaitwa chai tu
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
hahahahahahahahahaha, hasa ukiwa unashika bakuli la mbegeπππ