Atakaye fanikiwa kumrejesha jamaa yangu johnthebaptist humu jukwaani, anitafute nimpe buku ya maji. Huyu kama hajaenda na yule mwamba wa Isimani, sijui....!