Hiyo sio nyota yako kweli?[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtabiri ametisha kwa mwendo kasi wa 4G.! Alafu imechapishwa Gazeti la Mtanzania... Aiseee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo sio nyota yako kweli?[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mtabiri hatak mchezo kaona watu wagumu kuhonga so lazma awasaidie kwa kuwapiga fixwakuu kumbukeni hiyo ni nyota ya mizani, yani upimishe ili ibalance pande mbili au ziwe sawa, so anachokwambia mtabiri hapo jaribu kupimisha na akili yako au kipato chako vinaendana, mtabiri huyu wa mwendo kasii [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
jf huwa inaniliwaza kwa nyuzi kama hizi
Ila ndio uhonge kwel mtabiriSayari ya Jupiter sasa hivi iko kwenye nyota ya Mizani (Libra) na itakaa hapo kwa miezi 10 mingine ijayo. Jupiter ni aina ya "sayari au wengine huita nyota ya jaha", ikikutembelea kwenye mlango wako wa kwanza (kama ilivyo Mizani sasa hivi) basi huo utakuwa mwaka wako wa bahati sana.
Hapa natoa taarifa tu kuthibitisha huo utabiri hapo juu. Kwa wenye nyota ya Mizani kaeni mkao wa kula mwaka huu wote.
Wasioamini unajimu tafadhali msinitukane.