mtaani kwetu

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
heheheheheheee............mtaani kwako kuna vituko gani hebu tu-share kidogo
huku kwetu kitaaani kuna vituko saaaana,
kuna mlevi mmoja wa banana beer huwa akipita kila siku utasikia tu akitukana au akiremix hit songs
leo yuko na hiii........ imepanda bei hata gongo nayo imepanda bei............
 
hahahaha uku kwetu ndo balaa ata uculize.. vijana hawafanyi kazi kutwa kushinda madirishani kupga chabo., watoto wa primary ndo wamekua tishio kwa wamama watu wazima kwenye ndoa zao yani full raha
 
hahahaha uku kwetu ndo balaa ata uculize.. vijana hawafanyi kazi kutwa kushinda madirishani kupga chabo., watoto wa primary ndo wamekua tishio kwa wamama watu wazima kwenye ndoa zao yani full raha

teh wababa wakoapi
 
Back
Top Bottom