dotnet
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 393
- 153
Unaambiwa eti usaule kila kitu, then unapewa taulo lao uvae.
Wakati wa shughuli ya kukandwa mwili, mara ya kwanza mikono inaishia kitovuni,
akiona hujastuka akirudi tena anaishia kiunoni,
akiona hakuna negative respond kutoka kwako basi akirudi tena anaishia ambapo nywele nyingi zimeota,
kama utaendelea kukaa kimya basi safari hii anaishia chini zaidi na kuigusa "rocket ranger" yako,
na kama wewe umelainika basi hapo kwenye ranger, ndani taulo lazima patakua pameinuka kwa muinuko mkubwa mno,
haya yote anayafanya huku akiwa kafungulia sauti lainiiii ya radio na yeye akichombeza kwa sauti yake ya mahaba, taa zinawashwa zile za rangi tu na yeye anakua kavaa kiuchokozi.
Yaani kama ukitaka kujipima wewe ni mgumu kiasi gani, humaindishi mademu na ni mcha mungu basi nenda kwenye hizi parlour then ukiweza kutoka mzima basi wewe kweli umefuzu.
Asante