Mtaani Kwetu: Massage Parlours in Dar es Salaam

Mtaani Kwetu: Massage Parlours in Dar es Salaam

Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea...

1.miriam massage masaki
2.signature massage makumbusho
3.............
4.............

WAKUU ENDELEEENI NA KUTUJUZA NYINGINE
 
Makabari ya kinondoni kuna sehemu panaitwa mwembe jini, kama unatoka maeneo ya ubalozi katisha kushoto nyoosha moja kwa moja, utakuta kuna jengo kubwa jeupe nahisi ni la tiss, mwisho wa ule ukuta mkono wa kushoto utaona kuna Chata kubwa ukutani imeandikwa Pentagon, ukifika bonyeza ka alarm, mlinzi atakuja kukufungulia, then utapokewa mkuu.. ni pazuri sanaaa labda kama wameshindwa ku maintain huduma walizo kua wanatoa mwanzo

tanx iko maeneo gani
 
KIBANGA ampiga mkoloni;
safi sana na kama kuna mtu anafahamu mahali zilizopo atujuze
 
Last edited by a moderator:
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea...

1.miriam massage masaki
2.signature massage makumbusho
3.............
4.............

WAKUU ENDELEEENI NA KUTUJUZA NYINGINE

3.Lilian massage ipo nyuma ya Best Bite Kinondoni
 
Back
Top Bottom