itakuwa poa piaAweke hapa gharama za kutengenezea
Ulishatengeneza biogas kiongozi?Nahitaji mtu mwenye ujuzi wa maswala ya biogas hasa kuunda mitambo ya kuzalishia biogas. karibu pm kwa mazungumzano zaidi.
Ukihitaji nipo hapa nakuwekea kiongoziAweke hapa gharama za kutengenezea