ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 927
- 1,927
mbona porno unaangalia, iweje ushindww ku install python?We jamaa as if unaongea na mtaalamu sasa mi python naijulia wapi kama C ++ nilifeli mapema kabisa hata sijui na run vipi
mbona porno unaangalia, iweje ushindww ku install python?We jamaa as if unaongea na mtaalamu sasa mi python naijulia wapi kama C ++ nilifeli mapema kabisa hata sijui na run vipi
Alafu jamaa sijala toka mchana ujue..mbona porno unaangalia, iweje ushindww ku install python?
Ukiachana na kulomba utafika mbali, hao virus unawapata hukohuko kwa mishangazi yako.Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..
Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.
Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..
Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant virus..
Msaada wakuu kwa mwenye free ant virus ambayo ni strong kama hii Kaspersky
Vishu Mtata nisaidie kutangaza ujue leo sijafanya kazi kabisa plus kesho inabidi niende kinyerezi nikakutane n salome
Kuacha ngono ni sawa na kuacha kula mkuuUkiachana na kulomba utafika mbali, hao virus unawapata hukohuko kwa mishangazi yako.
Virus waliongia kwangu ilikuwa tofauti, ilikuwa 2022 - niliingia kwenye Dark web wakanijazia hao virus- walikuwa wanabadilisha format za ma-file na kuwa kwenye format zao,Sema mkuu hii shida ww ushawai ona sehemu yaan ukiweka flash vtu avionekanai mpaka u searched
Nakuskiliza lete darasaVirus waliongia kwangu ilikuwa tofauti, ilikuwa 2022 - niingia kwenye Dark web wakanijazia hao virus- walikuwa wanabadilisha format za ma-file na kuwa kwenye format zao,
Hacker waliofanya hivyo, waliniekea file za contact zao, pamoja na account ya bitcoin ili nilipie kisha warudishe.
Nilifanya njia hiyo, Ila nilipoteza vitu vyangu ambavyo mpk leo najuta
We jamaa jinga kabisaa😂😂Shida mnatumia window XP au windows 7 , lazima virus ikulambe
We nicheki hapa hapa I'm still available itasaidia na wengine wenye changamoto kama hii kuweza kuitatuaNakuchek now pm mkuu
Na kabla ya yote lazima ujue tatizo liko wapi,Nakuskiliza lete darasa
Kama unatumia Windows 11 ndio ina vitabia hivyo, badilisha tumia Windows 10.Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..
Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.
Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..
Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant virus..
Msaada wakuu kwa mwenye free ant virus ambayo ni strong kama hii Kaspersky
Vishu Mtata nisaidie kutangaza ujue leo sijafanya kazi kabisa plus kesho inabidi niende kinyerezi nikakutane n salome
Mkuu asanten sana sana kwa ushauri nashukuru mungu suala limeponaShusha windows Tena maliza update drivers endelea kupiga pesa fata vile nilivyokwambia format local c afu ndio upige windows
Mkuu asante sana nimefanikisha jambo hapa na nimefanya vile ulivosemaWe nicheki hapa hapa I'm still available itasaidia na wengine wenye changamoto kama hii kuweza kuitatua
Kupitia na maoni ya wadau wengine unaweza ukatoka na best choice ya kutibu tatizo lako.
Hiyo exe. ni kirusi hichoMkuu asante sana nimefanikisha jambo hapa na nimefanya vile ulivosema
Na nimegundua kumbe kuna ma file ukifingua tuu jua tayar ushachoma hasa mafaili yenye exe mbele
Yaaan virus wa jana ilikula mpaka window tukapiga window Zaidi ya mara moja mkuu..Hiyo exe. ni kirusi hicho
Sometimes unakuta kuna folder limeandikwa Movie lakini lina extension ya exe. au application. Ukilifungua ina pop up CMD.
Ukishatia Kaspersky au AVG umemaliza kila kitu tena aina hii ya virus wala sio mpaka u-run scan. Mara nyingi uki open tu hiyo volume kama PC yako ina antivirus kama hizo mbili unakuta zinagongwa automatically.
Umejifunza nini???Yaaan virus wa jana ilikula mpaka window tukapiga window Zaidi ya mara moja mkuu..
Ila hapa nishajifynza aisee
Kwamba niwe makini na mafile ya kufungua niwe najua kuwa virus ni wapo kweliUmejifunza nini???