Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

Mtaalamu wa virus kwa computer anahitajika

VIRUS HOYEEEEEE
FB_IMG_17519056178684112.jpg
 
Ukishafanikiwa kufanya installation hakikisha unapiga full scan kikawaida itachukua masaa mengi kukamilisha.

Ikimaliza na ku fix hizo virus bado zile files zilizo kwenye affected volume hazitaweza kuwa visible hivyo utahitajika kufanya mambo mawili kulingana na operating system yako ilivyo.

Utafungua hiyo volume ambayo imekuwa affected kisha uta tafuta option ya hidden item utaiwekea tick halafu utaviona hivyo vitu ambavyo unavitafuta.

Ukishindwa hapo kuziona utahitajika ku search folder ambalo unalikumbuka lililokuwa kwenye hiyo volume ambayo imaethiriwa na virus. Ukishaliona uta right click na kufungua open folder location hapo utaziona zote. Kwa hiyo utachohitajika kufanya ni kuzi excute kwa ku Cut na kuja kuzi paste upya kwenye home screen ya hiyo volume
 
Jaribu kufanya haya kutatua tatizo la shortcut virus na file Hiding

1. Ondoa Hidden Attributes

Ingiza flash/external yako.

Fungua Command Prompt (CMD) kwa “kuRun as Administrator”.

Andika komandi hii (badilisha X: na drive letter ya flash yako, mfano E:

attrib -h -r -s /s /d X:\.

Hii itafanya mafaili yote yaliyokuwa yamefichwa yaonekane tena.

2. Download hizi antivirus zinaweza kukusukuma

Bitdefender Free Edition

Avast Free Antivirus

Kaspersky Security Cloud Free

All the best mkuu
 
Kaspersky ni antivirus sio virus

Lakini hao virus wako watakuwa ni shorcut hapo suluhu ni ku install trial ya virus yeyote ambayo ni strong

Kama bado hujaweka antivirus ya Kaspersky anza na Kaspersky Hiyo ni kutoka kwenye official site inakupa trial ya 30 days. Ila ipo crack ya 90 days kama utahitaji Crack

Kama tayari ulishawahi kuweka Kaspersky na trial ikafika mwisho basi chukua Malwarebytes

Au chukua AVG

Ila sikushauri uchukue Avast wala kile kidude wanakiita Smadav
Nakuchek now pm mkuu
 
Rudia kupiga window, kisha baada tu ya kupiga , kimbilia kwenye file la window.old na ufute
Piga window 10 kwa sababu kwenye ulinzi iko vizuri
Hapana napiga window tena mkuu..
Aiseee huyu virus hajawahi tokea an hapa ilifuta window ndo tunapiga tena hapa an...

Ngoja tutafnya hvo
 
Na file la window.old halifutwi kwa ku-delete, vitafutika vichache sana
Nenda YouTube ucheki jinsi ya kufuta hilo file kwa command
Sema mkuu hii shida ww ushawai ona sehemu yaan ukiweka flash vtu avionekanai mpaka u searched
 
Jaribu kufanya haya kutatua tatizo la shortcut virus na file Hiding

1. Ondoa Hidden Attributes

Ingiza flash/external yako.

Fungua Command Prompt (CMD) kwa “kuRun as Administrator”.

Andika komandi hii (badilisha X: na drive letter ya flash yako, mfano E:

attrib -h -r -s /s /d X:\.

Hii itafanya mafaili yote yaliyokuwa yamefichwa yaonekane tena.

2. Download hizi antivirus zinaweza kukusukuma

Bitdefender Free Edition

Avast Free Antivirus

Kaspersky Security Cloud Free

All the best mkuu
Shukran mkuu 🙏🙏🙏🙏
 
Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..

Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.

Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..

Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant virus..

Msaada wakuu kwa mwenye free ant virus ambayo ni strong kama hii Kaspersky

Vishu Mtata nisaidie kutangaza ujue leo sijafanya kazi kabisa plus kesho inabidi niende kinyerezi nikakutane n salome
Unatumia OS ipi na version ipi ?
kama hutojali, nikutengezee automation script ya kukabiliana na hiyo kadhia.. natengeza kwa kutumia Python.. Utacho hitaji ufanye setup za python kwenye OS yako
 
Unatumia OS ipi na version ipi ?
kama hutojali, nikutengezee automation script ya kukabiliana na hiyo kadhia.. natengeza kwa kutumia Python.. Utacho hitaji ufanye setup za python kwenye OS yako
Umeongea kitaalamu hapa aiseee
 
Unaweza fanya installation ya python kwenye computer yako ? nikutengee script uki run mala moko utapata majibu 😁😁
We jamaa as if unaongea na mtaalamu sasa mi python naijulia wapi kama C ++ nilifeli mapema kabisa hata sijui na run vipi
 
Back
Top Bottom