Mtaalamu wa Ving'amuzi (Decoder)

Mtaalamu wa Ving'amuzi (Decoder)

Kibar

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
90
Reaction score
26
Anahitajika mtaalam wa ving'amuzi nahitaj ni king'amuzi gani kwe bei rahisi naweza kuona ligi ya Uingereza British premier league.. kama kuna any mtaalam "fundi" wa kuchakachua call me 0767347080
 
ukipata mtaalam atakufungia astra28e ambapo kuna chanel imepata kibali cha kurusha ligi ya uingereza
 

Attachments

  • 1407133924783.jpg
    1407133924783.jpg
    65.4 KB · Views: 171
kila fundi ana bei yake mkuu.ngoja nikupe no ya fundi hapo kilosa anaweza kukusaidia
 
Anahitajika mtaalam wa ving'amuzi nahitaj ni king'amuzi gani kwe bei rahisi naweza kuona ligi ya Uingereza British premier league.. kama kuna any mtaalam "fundi" wa kuchakachua call me 0767347080

PM huyu jamaa atakusaidia naye yuko Morogoro Arselona.
 
Last edited by a moderator:
Dah hiyo makitu nahitaji. PM bei ya set nzima jumla na installation cost. Thanks.
 
Back
Top Bottom