eliajelemia50
Member
- Nov 15, 2016
- 12
- 8
Habari zenu jamani humu ndani nimekuja kwenu nikiwa ni muhitaji wa ajira salon ya kike ambayo ipo vizur kwa vifaa vyote vya salon iliopo dar moro au tanga nafanya huduma zote za urembo kama kushonea wiving na kubond vizur na style zote kufanya makeup aina zote na kufunga maremba nasuka nywele na kupamba maharusi
Kuset na nywele kubandika nywele n.k
Ni mwaminifu na pia ni mzoefu wa miaka 5 na na nina cheti cha hair beuaty toka vtc mikumi ni mcheshi kwa wateja .
Jinsia yangu ni me/ umri wangu miaka 27
No yangu +255715992666
Asanten kwa ushirikiano wenu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuset na nywele kubandika nywele n.k
Ni mwaminifu na pia ni mzoefu wa miaka 5 na na nina cheti cha hair beuaty toka vtc mikumi ni mcheshi kwa wateja .
Jinsia yangu ni me/ umri wangu miaka 27
No yangu +255715992666
Asanten kwa ushirikiano wenu .
Sent using Jamii Forums mobile app