Mtaalamu wa Tp link 3g wireless router anahitajika fasta

Mtaalamu wa Tp link 3g wireless router anahitajika fasta

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
yeah kama ww unautaalamu au uzoefu na hyo kitu nicheki 0688206680
 
yeah kama ww unautaalamu au uzoefu na hyo kitu nicheki 0688206680

ni router au wireless adapter? au usb modem?

kama ni router unataka kuitumia na ISP gani? mtafute mhusika wa mtandao( ISP ) husika ndio akupe settings zao pamoja na account...
 
yeah kama ww unautaalamu au uzoefu na hyo kitu nicheki 0688206680
Sema kama unataka mtu anayeweza kukusaidia setting hivyo ulivyoandika is like vifaa kama cisco router ambavyo huwezi kufanya setting kama hujavisomea.Router zote kuna setting basic zinafanana.Sasa usitake mtaalam wa TP link kumbe issue inahitaji mtu mwenye uzoefu wa networking na routers configuration.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom