Mtaalamu wa masuala ya Samaki plz

Mr Ngoma

Senior Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
139
Reaction score
76
Ndugu zangu habari za leo?

Naomba kujua ukweli kuhusu samaki:

1.Asili ya samaki hutoka wapii? kuna mtu yupo Bukoba anadai mvua zikinyesha ktk sehem kavu na baadae maji kutuama eti samaki huanza kuonekana hapo....je ni kweli through mvua alone samaki huweza zaliwa? Siamini hata kidogo naomba mtaalamu yoyote aje atupe mwanga.
Navyojua mimi mayai ya samaki hayawezi kuishi ktk vumbi na jua kali...sasa iweje mvua imwagike na samaki waonekanee?

Ntashukuru sana kwa mtaalamu atakae tupatia mwanga juu ya suala hili la kitaalamu
 
Samaki aina gani? Kuna samaki wanaitwa kambare wenyewe wanaweza kuishi kwenye matope au mashimo ya vyoo. Mvua ikinyesha anaweza akapanda juu mukamuona. Wakati tupo wadogo hadi kwenye mifereji tulikuwa tunawakamata.

Nenda google andika catfish utamuona msome zaidi jinsi anavyovumilia maisha nje ya maji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…