Nimejaribu kutumia command prompt kama admin na kuchokonoa kwenye registry lakini nimeshidwa kussolve hili tatizo
View attachment 574074
Anayeweza kwa njia nyingine, au alternative nyingine inakuaje hapo?
Nataka niweke usalama kwa hio folder lakini kama inavyoonekana katika picha hapo juu, hio option iko dissabled
So wanaTech How to do thid??