Mtaalamu wa katres anijuze

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,525
3,316
Najua humu kuna wataalam wa kila aina katika mapishi nataka kupika katres.
 
Viazi ulaya vichemshe viize vilainike kabisa kisha ponda ponda kwa mwiko vivuruge viwe unga.
Chukua nyama ya kusaga weka ndimu,pilipili manga chumvi chemsha ikishaiva acha ipoe.
Chukua viazi ulivyoponda changanya na chumvi tenngeneza donge kisha katikati weka nyama.
Daaamn nimeshachoka kuandika mwingine ataendeleq kuanzia hapo nlipoisha najuq hivyo simple and clear
 
ss amu c bora umalizie somo umechoka nn tena?au nawe unaandaa cha mchana
 
Viazi ulaya vichemshe viize vilainike kabisa kisha ponda ponda kwa mwiko vivuruge viwe unga.
Chukua nyama ya kusaga weka ndimu,pilipili manga chumvi chemsha ikishaiva acha ipoe.
Chukua viazi ulivyoponda changanya na chumvi tenngeneza donge kisha katikati weka nyama.
Daaamn nimeshachoka kuandika mwingine ataendeleq kuanzia hapo nlipoisha najuq hivyo simple and clear

Ha ha ha haa kazi hii anaiweza farkhina. ..hivo viazi usisahau kuviweka na ndimu + pilipili km mpenzi wa mchapuko!!....baada ya kuvifunga tapakaa unga ngano (mkavu usijemix na maji)/unga tosi then weka karai la mafuta kupikia jikon wacha yapate banja mayai kwenye bakuli km mawili utachovya na kuchoma...katles tayar kwa kuliwa... amu...sijui ndo ulitaka kumalia hivyo?!;)
 
Last edited by a moderator:

Hivyo hivyo hny hopr ateelewa somo
 
Last edited by a moderator:
Vikiiva naomba kuwa muonjaji nina degree ya chief tester toka mtaani kwetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom