Mtaalamu wa GIS mapping anatafutwa

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Wakuu,
Nataka kujifunza mambo haya hapa:

1) MapINFO
2) GIS mapping - specifically on mapping water sources

Ninatafuta mtaalamu aliyebobea anifundishe jinsi ya kutumia hizo applications. Ninatarajia kuwa Dar es Salaam kati ya tarehe 20 Dec 2012 mpaka Tarehe 14 January 2013.

Please PM me kama mtalaamu ndo weye au kama kuna mtu unamfahamu ili tuzungumze terms zinakuwaje. Natanguliza shukrani
 
Kuna jamaa wako arusha nyuma ya bank ya barclays bank pale uzunguni (kijenge) wako poa sana ngoja nitafute contact zao then nitakutumia kama utaweza kufantya hiyo training arusha.
 
Nitafute mkuu ukishafika, mi ndio mchawi wa hayo madude, kuanzia kutengeneza map kwa kudigitize kwa kutumia digitization table hadi kwa ku upload data kutoka kwenye GPS. Map info hapa ndio head quarter yake kuanzia kupanga cosmetic layer tofaut hadi kutengeneza DTM (digital terrain model) hiyo program ni ndefu kama utafundishwa kwenye chuo, ila akikufundim mtu kama mimi wiki 1 inatosha na wewe kuwa mtaalamu. hata ukitaka Auto CAD, Arch CAD hapa ndio vitu navyocheza navyo. wewe tu na mfuko wako
 
Nitafute mkuu ukishafika, mi ndio mchawi wa hayo madude, kuanzia kutengeneza map kwa kudigitize kwa kutumia digitization table hadi kwa ku upload data kutoka kwenye GPS. Map info hapa ndio head quarter yake...

Check ur PM Inbox
 
http://training.esri.com/gateway/index.cfm
kuna free training za ArcGIS,sio lazima utumie pesa kwanza,tafuta idea za kufanya hizi kazi,kwani sio too complex maka ushindwe,ni kama MS-Office,si lazima ufundishwe,kujituma kwako na kujipiga brush ndo kutaleta positive results....nakutakia kila la heri katika kujua GIS.....nakushauri,ukishazisomasoma na kuwa competent,tafuta cheti chochote cha GIS from an accreditted institute,utakuwa na market nzuri sana.....
 
Back
Top Bottom