Dr.mimi hujanibu swali langu kwenye post namba 122..Samahan naomba majibu kama hutojaliNimkujibu hivi:
Inabidi umuone gynecologist. Bila vipimo siwezi kusema kama unaweza kutumia dawa au mpaka operesheni
Asante.
ninasubiri jibu na mimi.Ninatatizo la kukojoa mara kwa mara ninapokunywa maji mengi kuanzia lita 1.5 na kuendelea kwa muda mrefu. Ila nikishiba na kushindilia maji inakuwa kawaida sana. Kinachonikera ile kwenda chooni mara kwa mara kwa dakika chache.
Nahitaji maji ninayokunywa yakae mwilini. Ni tatizo la muda mrefu had inanipelekea kutopendwa kunywa maji inavyotakiwa
Nahisi labda msuli wa pelvic floor hauko imara au kuna tatizo lingine linasababisha ili tatizo kwani sina ugonjwa wa sukari.
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Asante sana
Dr. mimi nimeambiwa nina fat kwenye ini (utra sound). Pia nimeambiwa nina stone katika mrija mmojawapo utokao kwenye kibofu cha mkojo (ultrasound). Nipe ushauri nifanyeje.
Nilifanya hivi vipimo katika taratibu zangu za kawaida, hivyo sikuwa nasumbuliwa na tatizo lolote kabla ya hapo na mpaka sasa sihisi tatizo lolote na sijabadili utaratibu wangu wa maisha wa kawaida kwa sababu ya hayo.
Ninatatizo la kukojoa mara kwa mara ninapokunywa maji mengi kuanzia lita 1.5 na kuendelea kwa muda mrefu. Ila nikishiba na kushindilia maji inakuwa kawaida sana. Kinachonikera ile kwenda chooni mara kwa mara kwa dakika chache.