Chocolate
Senior Member
- Feb 5, 2009
- 117
- 48
Habari wana Jamii. Ninahitaji mtaalamu/mwalimu/mkufunzi anayejua Quickbooks (of course anayejua accounting pia) anifundishe kwa wiki moja. Mafunzo haya yataambatana na kurekebisha posting za nyuma zilizokuwa zimekosewa na kuiweka uptodate. Waweza ni pm ili tukubaliane terms na muda. Asanteni.