MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 710
Waungwana
Sijui kama hapa ni mahala pake, lakini namtafuta mtu ambaye ni mtaalam wa nishati ya umeme jua, haswa mtu ambaye ni mhandisi, au kijana yeyote yule aliyesomea, kwa mfano, pale VETA, ambapo somo hili linafundishwa vizuri sana.
Iwapo mnamfahamu mtu kama huyo, tafadhalini niandikieni jina lake na namba PM yake mapema iwezekanavyo. Kuna mradi mkubwa unakuja, nahitaji kuwa na mtu kama huyo, ili nimshirikishe.
Asanteni.