Mtaa wa Nyerere kutinga Palestina

Mtaa wa Nyerere kutinga Palestina

Unaona sasa tatizo lenu kuu? Mnaleta mambo ya dini kwenye kanuni za utatuzi wa migogoro ya karne ya 21? Nyakati zimebadilika ndugu yangu na wapalestina yahitaji wabadilike kama kweli wanalitaka taifa. WaIsrael wakati kwenye negotiating table hawaendi na biblia na vitendo vyao on the ground hawafanyi kama watu waishio karne ya saba. Wakina Yasser Arafat, akina Hamas, akina Islamic jihad, na wengineo wa caliber ile wanajenga hoja zao kidini, mara wawaite wayahudi pigs and rats waliolaaniwa na Allah kwenye Quran, mara hivi mara vile, na wewe naona umeongezea ya kwako --Ni nani aliyemsaliti MUSA kuondoka Misri kama sio Muyahudi mwenzie? Sawa, endelea kuamini hivyo kama kweli taifa linapatikana kwa njia hiyo.

Dogo, usitoke nje ya mada,hiyo focus unayo tuhumu, (Black&White)IPO wapi kama sio unafiki, lete falsafa ya siasa ikiambatana na mnyambuliko wa jamii.... rejea Maandiko yapo Ukutani!!!!!
 
Terrorist?????????? Remember Mandela was still in the list of ‘terrorists’ of the CIA even after he became president of the RSA, so it doesn’t appeal to me to call Arafat an Arab terrorist. It sounds racist, Islamophobic and Arab-phobia. I’m neither an Arab nor a Muslim but I hate it when people are labelled as terrorists for their skin colours or their religious beliefs.
manela alikuwa mkomunisti kabla ya kufungwa lupango. arafat alitumia njia haramu kutangaza mgogoro wake na Israel(mauwaji ya wanariadha wa Israeli kule ujerumani mwaka 1972 munich masacre) hivyo mtu yeyote ambaye ni mfuasi wa siasa za kikomunisti hana tofauti na terrorists! huwa wanatumiaga idara ya usalama kuterrorisi watu au raia!

soma kitabu cha Abu Nidal halafu uone jinsi ya wapalestinina walivyo uaana wao kwa wao kugombea uongozi!
 
kwa nini wasiuite mtaa huo mtaa wa Tanga au dar Es Salaam au Dodoma kwa jina la kushukuru tanzania. Maana nyerere aliwapeleka mamilion ya vijana kucheza kwata mbele ya arafat na sio yeye peke yake aonekane kama ndiye alifanya makuu?
 
Hayo mwambie yule asiyejua, asiyefatilia na asiyefikiria juu ya mgogoro wa wayahudi na waarab. Hivi we unategemea tu nikubaliane na wewe kirahirahisi kwamba huu ni msuguano kati ya "jiyahudi lililonyanganya na mpalestina aliyenyanganywa"? Ndugu yangu msuguano huo ni mtata kuliko unavyouweka na kwa vile unayaweka mambo kirahisi rahisi ngoja nikwambie kwa namna hiyo hiyo: Wayahudi hawa unaowaita ji-,mi-, au ma-yahudi wana haki sawa na ya wapalestina kuwepo kwenye eneo lile, na kwa vile wapalestina hawataki kufanya suluhu inayoeleweka na wanadhani vita ndiyo itakayowapatia haki zao basi wenzenu wayahudi vita wanaijua na hawangoki pale.
mkuu siwezi kubishana na wewe kwenye hoja kuhusu yupi mwenye haki kati ya yahudi na mwarabu, hii ni topiki ndefu. kwani pia inategemeana na mtizamo wa mtu hisika sometime. ulichonikera ni kumwita Arafat terrorist, kwa mujibu wa hivyo vigezo vyako vya moyoni.
 
Back
Top Bottom