Mtaa wa Nyerere kutinga Palestina

Mtaa wa Nyerere kutinga Palestina

Eti mwenyeheri ni cheo cha kidini, kwahiyo alhaji ni cheo cha kiserikali? Kwamba ukiwa kiongoz wa serikali huwezi timiza matakwa ya din yako,au mafundisho yp yanataka mkristo aharibu uislam ili apate utakatifu,kuweni na busara eti.
 
Hahaha, Hill Road inakuwa "Yasser Arafat Road"?

Might as well, the place is hardly recognizable any more, what with the boxy monstrosities rising up like mushrooms everywhere.

Wakazi waliulizwa lakini? Au ndo undakindaki tu?

It is unbelievable the rate at which these boxy monsters are rising in the Dar skyline!! Hivi hii serikali inafikiria kuhusu majitaka yatakayotoka kwenye haya majumba yatakwenda wapi; otherwise kama miundombinu itabakiya ndio ile ile aliyoiacha mkoloni basi tujue huko mbele tutapata shida sana ya magonjwa ya mlipuko especially when we know that during the rainy season our city is prone to flooding!! Hawa vilaza wamejengewa box moja pale karibu ya Ikuku bila wao kujua wameshtukia ghorofa limekwisha na wapangaji wanaingia sembuse wataelewa kitu gani kinaendelea huko Kariakoo!!!!
 
Malme Suleiman~~~~ sijawahi ona mtoto wa mwenyehaki akiomba omba majararani.

Nyerere for ever.
 
I hope mtao huo wa Ramalah utakaopewa hilo jina utakuwa important,siyo kichochoro kama Hill Road.
Hill Road kwangu mimi imekaa vizuri kulikoni kubadili kwa ajili ya kutukuza jina la mtu aliyefanyia Tanzania zero hakuna sababu ya kulitukuza jina la Yasser Arafat kwetu sisi watanzania kwani kaifanyia nini Tanzania??? Bora hata lingechukuliwa jina la mkuu mmojawapo wa mikoa ya Tanzania ndo liitwe huo mtaa
 
Akili za kitumwatumwa hizi sijui zitaishaga lini vichwani mwetu. "Yasser Arafat" road? huyuhuyu Arab terrorist naye anaenziwa hapa Tanzania hadi anapewa barabara? Hivi tumekosa kuwatambua watanzania wenzetu wapigania uhuru wa taifa letu, wenzetu waliojitolea maisha yao kulinda mipaka ya nchi yetu, watu waliojitolea nguvu zao, akili zao na uzalendo wao katika kulitumikia taifa letu hadi anatafutwa mtu tu wa pembezoni mashariki ya kati ambaye ukichunguza tu legacy yake duniani ni fujo za kisiasa na kidini dhidi ya jirani zake? I hate this.

Ni mambo ya kipuuzi kwa serikali hii ya kipuuzi, bora mngeeiita mkwawa road au mangi meza road, acheni ujinga huu wa kipuuzi, alafu upuuzi huu upo tanzania pekee!
 
Terrorist?????????? Remember Mandela was still in the list of ‘terrorists' of the CIA even after he became president of the RSA, so it doesn't appeal to me to call Arafat an Arab terrorist. It sounds racist, Islamophobic and Arab-phobia. I'm neither an Arab nor a Muslim but I hate it when people are labelled as terrorists for their skin colours or their religious beliefs.

Bado nasisitiza kwamba Yasser Arafat hapaswi kuenziwa hapa kwetu. Na this goes to show how politically stupid Nobel peace prizes are kwamba huyu jamaa pamoja na mwenzake yule myahudi walipewa eti Nobel Peace prize. Na kuwafananisha mpigania uhuru Nelson Mandela na Yasser Arafat kwamba wote ni "wapigania uhuru" ni kuweka mchanga kwenye kitumbua cha historia ya mzee Mandela. Historia ya Afrika Kusini na ya Palestina vinatofautiana sana. Mazingira yaliyopelekea mzee Mandela kupigania uhuru kutoka kwa makaburu, kufungwa gerezani na baadae kupata utukufu vinatofautiana sana na Yasser Arafat aliyeasisi mfumo wa ajabu sana wa "kudai haki" kwa njia za kigaidi na asiyetaka suluhu ya namna yoyote ile dhidi ya maadui zake.

Na usinambie kwamba namkataa Arafat kwa vile ni Arab, Muslim au whatever. Namkataa kwa namna ile ile ninavyowakataa Alshabab, Boko haram au Uamsho wa Zanzibar. Hawa wa pili ni Waafrika, ngozi nyeusi kama mimi lakini vitendo vyao vinawafanya wasiwe na chembe yoyote ya kuenziwa bila kujali kabila, dini au rangi zao.
 
kwa vile tafsiri yako terrorist ni mwislam basi utapata shida sana. hivi wewe bwe.ge ni yupi terrorist halisi kati ya mpalestina aliyenyang'anywa ardhi yake na jiyahudi lililonyang'anya. you should see psychiatric otherwise mirembe panakufaa sana.

Hayo mwambie yule asiyejua, asiyefatilia na asiyefikiria juu ya mgogoro wa wayahudi na waarab. Hivi we unategemea tu nikubaliane na wewe kirahirahisi kwamba huu ni msuguano kati ya "jiyahudi lililonyanganya na mpalestina aliyenyanganywa"? Ndugu yangu msuguano huo ni mtata kuliko unavyouweka na kwa vile unayaweka mambo kirahisi rahisi ngoja nikwambie kwa namna hiyo hiyo: Wayahudi hawa unaowaita ji-,mi-, au ma-yahudi wana haki sawa na ya wapalestina kuwepo kwenye eneo lile, na kwa vile wapalestina hawataki kufanya suluhu inayoeleweka na wanadhani vita ndiyo itakayowapatia haki zao basi wenzenu wayahudi vita wanaijua na hawangoki pale.
 
Labda atumiwe kitabu cha SIVALON na kile cha MUSLIM AND THE STATE ndio atajua

lakini pia usisahau kuwa si kila Mpalestina ni musilam au kila mwarabu ni musilam

afterall mafundisho ya uuislam ni kuwa ISLAM first before nationality.

ohhh btw

Nyerere ndio chanzo cha Mfumo Kristo Tanzania

Hivo vitabu si kweli kuwa vinasema ukweli. Mtu kujitokeza kuandika kitabu haina maana kuwa anachukua ukweli wote ila mtazamo wake sawa.
 
Terrorist?????????? Remember Mandela was still in the list of ‘terrorists' of the CIA even after he became president of the RSA, so it doesn't appeal to me to call Arafat an Arab terrorist. It sounds racist, Islamophobic and Arab-phobia. I'm neither an Arab nor a Muslim but I hate it when people are labelled as terrorists for their skin colours or their religious beliefs.

Saidi aren't an Islam?
 
Ni mambo ya kipuuzi kwa serikali hii ya kipuuzi, bora mngeeiita mkwawa road au mangi meza road, acheni ujinga huu wa kipuuzi, alafu upuuzi huu upo tanzania pekee!

Upuuzi huu upo Tanzania tu ndugu yangu. Kwa nchi yenye rich history kama yetu unashangaa kuna mtaa mzima kabisa eti unaitwa Abiola!!! Nilishangaa sana siku moja nipo temeke mpiga debe daladala anasema Abiola nikajiuliza kwa mshtuko fulani hivi--nipo Nigeria hapa? Haya mambo si madogo kupuuzia. Ni Nyerere huyu huyu ndo aliyeyaasisi haya mambo ya kuwatukuza wenzetu kuliko tunavyojitukuza sisi wenyewe. Na tumejenga kizazi kinachoamini mtu wa nje ni bora kuliko mtanzania mwenzako hadi leo hii unashanga wanaijeria, wachina, wakenya na wengineo wametapakaa nchi nzima halafu tunachekelea tu. Stupid state.
 
Akili za kitumwatumwa hizi sijui zitaishaga lini vichwani mwetu. "Yasser Arafat" road? huyuhuyu Arab terrorist naye anaenziwa hapa Tanzania hadi anapewa barabara? Hivi tumekosa kuwatambua watanzania wenzetu wapigania uhuru wa taifa letu, wenzetu waliojitolea maisha yao kulinda mipaka ya nchi yetu, watu waliojitolea nguvu zao, akili zao na uzalendo wao katika kulitumikia taifa letu hadi anatafutwa mtu tu wa pembezoni mashariki ya kati ambaye ukichunguza tu legacy yake duniani ni fujo za kisiasa na kidini dhidi ya jirani zake? I hate this.

Dogo wacha matusi, sio asili yako wala wazazi Wako hawajakulea ki-hivyo. Falsafa ya siasa za kimataifa zinatambua uwepo wa taifa la Palestina, nakushauri jiunge na elimu ya Chuo kikuu, chochote hapa duniani, soma siasa, ukifika mwaka wa pili tu utagundua tofauti, kamwe huwezi kuandika PUMBA kama ulivyo sasa, else usichanganye imani ya dini za kilokole na siasa.JF ni kwa hoja zenye mantiki hususan jukwaa la siasa.
 
haya nimekusikia. sasa kinachowazuia wapalestina kuwa na taifa lao ni nini? tatizo lako na la wengine kama wewe mnatafsiri mambo in black and white, palestina wanaonewa, wayahudi ni waonezi. basi. na mentality hiyo haiwasaidii chochote miaka nenda miaka rudi mpaka pale mtakapokubaliana na hali halisi. na hali halisi ni kwamba baadhi ya madai ya wapalestina hayatekelezeki na hilo ni gumu sana kwenu nyie kulitambua, okay?
 
Akili za kitumwatumwa hizi sijui zitaishaga lini vichwani mwetu. "Yasser Arafat" road? huyuhuyu Arab terrorist naye anaenziwa hapa Tanzania hadi anapewa barabara? Hivi tumekosa kuwatambua watanzania wenzetu wapigania uhuru wa taifa letu, wenzetu waliojitolea maisha yao kulinda mipaka ya nchi yetu, watu waliojitolea nguvu zao, akili zao na uzalendo wao katika kulitumikia taifa letu hadi anatafutwa mtu tu wa pembezoni mashariki ya kati ambaye ukichunguza tu legacy yake duniani ni fujo za kisiasa na kidini dhidi ya jirani zake? I hate this.

Ulitaka atajwe Ronald Reagan?
Hii habari imekuwa ndiyo inayoongoza katika magazeti makuu ya Mashariki ya Kati yanayotolewa London, na hivyo inaipatia Tanzania jina.
' ' -

Wee, kaa na akili zako za kuona hadi mwisho wa pua yako tu!
 
I hope mtao huo wa Ramalah utakaopewa hilo jina utakuwa important,siyo kichochoro kama Hill Road.

Equanimity brother, equanimity. Wasn't the man himself supposed to be humble? Or was that just a guise?

Have you been to Joshua Nkomo St. in Dar? The place is hardly one block!

But still, Joshua Nkomo has a street named after him in Dar.

If you ask me the whole exercise, unless grassroots oriented, is bizarre.
 
haya nimekusikia. sasa kinachowazuia wapalestina kuwa na taifa lao ni nini? tatizo lako na la wengine kama wewe mnatafsiri mambo in black and white, palestina wanaonewa, wayahudi ni waonezi. basi. na mentality hiyo haiwasaidii chochote miaka nenda miaka rudi mpaka pale mtakapokubaliana na hali halisi. na hali halisi ni kwamba baadhi ya madai ya wapalestina hayatekelezeki na hilo ni gumu sana kwenu nyie kulitambua, okay?

Dogo, acha unafiki siku hizi mambo hadharani mchana kweupee!!! pure white, wacha rangi rangi. Kumbe na wewe kama wao!! Ni nani aliyemsaliti MUSA kuondoka Misri kama sio Muyahudi mwenzie? MAANDIKO YAPO UKUTANI!! na mwenye macho....
 
Unaona sasa tatizo lenu kuu? Mnaleta mambo ya dini kwenye kanuni za utatuzi wa migogoro ya karne ya 21? Nyakati zimebadilika ndugu yangu na wapalestina yahitaji wabadilike kama kweli wanalitaka taifa. WaIsrael wakati kwenye negotiating table hawaendi na biblia na vitendo vyao on the ground hawafanyi kama watu waishio karne ya saba. Wakina Yasser Arafat, akina Hamas, akina Islamic jihad, na wengineo wa caliber ile wanajenga hoja zao kidini, mara wawaite wayahudi pigs and rats waliolaaniwa na Allah kwenye Quran, mara hivi mara vile, na wewe naona umeongezea ya kwako --Ni nani aliyemsaliti MUSA kuondoka Misri kama sio Muyahudi mwenzie? Sawa, endelea kuamini hivyo kama kweli taifa linapatikana kwa njia hiyo.
 
Lakini tunaambiwa Nyerere alikuwa dhidi ya Waislamu na Uislamu... hawakumuuliza hilo huyo Balozi au kina Mohammed Said hawajasoma hii habari?

I doubt kwamba wapalestina wote ni waislamu. Hata hivyo watoto wa shule wa Palestina hufundishwa kuwa miongoni mwa watu muhimu dunia hii ni Ernesto Che Guevara!
 
Back
Top Bottom