Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Wanakuja kama 30 unabaki kusikiliza matusi yao vidole usoni
Hahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......

Sasa bwana kumbe kale ka -manzi kali kuwa ni type ya papuchi for sale. ..mimi nilikutana nae usiku -area za kituo cha mwendo kasi tiptop so sikuwa nimeibaini Tabia yake kwa haraka. ...tuka badilishana contact.

Ghafla kesho palivyo kucha tu -- kaka Anza kunisumbua ili tuonane. ..Kwakuwa ilikuwa weekend nikampanga tuonane time za mchana '"..nilikuwa free --

Basi tu kaenda lodge fulani tukamalizana huko ---- kisha kila mtu akafuata njia yake (but nilimpa pesa ) baada ya hapo tukawa tuna wasi liana kwa muda kama wa siku 2 akanipiga mzinga mwingine wa hela ....Nikawa nampotezea ..Basi bwana ' siku 1 jioni akanipigia simu kwa namba ngeni kumbe amewakusanya rafiki zake kibao wacha wanitukane. .. dah! !! Nikakata simu
 
Hizo ndio tabia zao mademu wa uswazi asa mitaa hiliyo kubuhu
 
Mimi ndo maana dar huwa siipendi kabisa!
 
Nimewahi kukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…