Mheshimiwa Rais tupia jicho idara ya uhamiaji,kama ulivyoimulika polisi!! Hali ni mbaya nchi imevamiwa na wageni!!
Wamalawi,wanaijeria,wakameruni wamevamia nchi wananunua hivi viwanja vinavyouzwa na makampuni binafsi,mbaya zaidi hawaulizwi utambulisho wao kama national id !! Haya makampuni yanayaka pesa tuu!!
Wamejaa Sana huku gezaulole wengi wananunua viwanja vilivyo ufukweni!! Ni hatari Sana, hasa suala la madawa ya kulevya!! Pia ukienda tuangoma,kimbiji wapo wa kutosha usiku ndio hujiachia !!
Idara ya uhamiaji ni wapigaji tuu wanakuja usiku na kuondoka!
Hawa jamaa ni wajanja Sana usiku hujichanganya bar na kucheza pool table Kwa lengo la kujifunza kiswahili Kwa watanzania