Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
Aisee mim nimemaliza university 2016,2017 nikaingia jeshini aisee japo safari yangu ilikuwa ngumu sana ,so sio jobless na hapa kuna jambo limemkuta ndugu yangu huko kwenye masuala ya job ndo nimechokaaaah mida ya kukaa kijiweni kuwasema graduates hii majobless tukikutana tunawakandia sana wenzetu qmmae
Hehehehe ujue tz Pagumu sana yaani bila connection 80% kutoboa kazi sana...Ahaa ! Umemaliza college gani?
Nadhani hujaelewa topic vizuri ,mada iliyopo ni kwamba kuna watu walikuwa wanajivunia kusoma chuo Fulani na kucheka vyuo vingine ,ila mtaani kwenye soko la ajira lililotawaliwa na connection yaani "who you know than what you know" mambo yamekuwa tofauti kbsa ,yani mtaani ni ulimwengu mwingine kbsa ambapo haijalishi ulisoma chuo Gani lakini linapokuja swala la ajira mambo ni tofauti mpaka unabaki kushangaaTuendelee kujidanganya. Hadi sasa hatujapata stry ya msomi aliyejipambania na akafa kisen*e.
Tupambane ndugu zangu....
Nchi ni maskini, watu wamesoma vzr tu, tatizo ni nchi aina mipango kwa ajili ya wasomi wetu,Zile tambo za kuita vyuo vingine ni college,kata naona mtaa umejua kubalansi shobo...
Kwa sasa elimu bila ajira watasoma wachache, wengi wanaona ni kupoteza mdaAlafu msipanic mim mwenyewe ni graduate na sijaandika Uzi kuwaonea wivu waliosoma ,mim tayarni graduate & Nina mawe yangu mawili begani ila naongelea tu uhalisia uliopo mtaani manake hata mim nilihustle
Nadhani hujaelewa topic vizuri ,mada iliyopo ni kwamba kuna watu walikuwa wanajivunia kusoma chuo Fulani na kucheka vyuo vingine ,ila mtaani kwenye soko la ajira lililotawaliwa na connection yaani "who you know than what you know" mambo yamekuwa tofauti kbsa ,yani mtaani ni ulimwengu mwingine kbsa ambapo haijalishi ulisoma chuo Gani lakini linapokuja swala la ajira mambo ni tofauti mpaka unabaki kushangaa
Sasa hasira za nn km hukusoma chuo kikuu polee yako, ulisoma taasisi ya elimu ya juu au chuo cha katii?Alafu msipanic mim mwenyewe ni graduate na sijaandika Uzi kuwaonea wivu waliosoma ,mim tayarni graduate & Nina mawe yangu mawili begani ila naongelea tu uhalisia uliopo mtaani manake hata mim nilihustle