Mswati! Mswati! Mswati!

Mswati! Mswati! Mswati!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413721835598.jpg
 
Ni mfalme Mswati akiwa na jogoo la afrika rais r. Mugabe. Kwa nini ulimtaja Mswati peke yake mshana jr?Niliikimbilia post nikidhani ni Mswati na jeshi lake la warembo!

Anamtafuta ugomvi huyo kibabu mamvi, anamsifia eti mkewe mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Ni mfalme Mswati akiwa na jogoo la afrika rais r. Mugabe. Kwa nini ulimtaja Mswati peke yake mshana jr?Niliikimbilia post nikidhani ni Mswati na jeshi lake la warembo!

Mswati baaaaashaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nadhani junior alilenga sijui nini?
 
Ama kweli sisi wa afirica kwa kuzalisha watoto ni nambari one lakini matunzo shida
 
Ni mfalme Mswati akiwa na jogoo la afrika rais r. Mugabe. Kwa nini ulimtaja Mswati peke yake mshana jr?Niliikimbilia post nikidhani ni Mswati na jeshi lake la warembo!


mkuu mi pia amenikamata
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom