Mswathis wives

kwa nini hii wasianzishe tz tuwe tunapigana vikumbo taifa pale shamba la bibi kuona vibinti toka vikindu chamanzi na tandale na masaki vikipita mbele ya .......................... hahaaaaa

Wenzio wanatafuna kupitia Miss Tanzania!!!!!!!!!!!!
 
Mbona sura zao zinaonesha as if hawako willing kuwa exposed kihivyo!? udikteta huu, pamekosekana dini hapa thats why hivi vitu vinaendelea kufanyika, Laanatu LLAH.
 
Ni bora KING MSWATI anaweka hadharani na anachukua kitu kwa baraka zote kutoka kwa WASWAZLAND kuliko KING ****** anayefanya kificho na kuambulia kuongeza idadi ya watoto wa mitaani
 
mhhhh, kua watu wengine wamependelewa. watu wanahangaika kila mahali kutafuta watoto bikira, jamaa anapelekewa bureeeeee!
 
jamani mie najichagulia huyu wa kwanza kulia ktk picha ya tatu. Naomba mtu asiniingilie hapooooooooooo!
 
wakuu kati hao wote hapo anachagua mmoja tu, wengine wanaingia street kwa ajili ya masela wengine wajitwalie usingizi wao baada ya mfalme ku pick the best of them
 
Hii kitu ina raha yake maana hata first lady wa ****** alishawahi hudhuria hii sherehe
 
Ama kweli Mfalme mswati anafaidi.Mfalme Mswati pepo yake kashaiona Duniani.

 
nahisi mswati ndo atakuwa kabeba dhambi zote za uzinifuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom