Hili nalo linafikirisha sana hivi wamefanya utafiti wakagundua hawana dawa majumbani mwao?
Je inashirikisha wazazi au ni ghafla tuSioni kama kuna utafiti ulifanywa kwasbabu moja. Watoto wanapewa wote dawa na mswaki. Haijalishi nyumbani ipo au haipo
Tatizo misaada inayotolewa inakua na masharti sana. Sii rahisi kuikataaKama unatumia colgate ukiwa mdogo kuacha inakuwa ngumu kidogo kutokana na quality yake wanawazoesha kuja kununua badae.
Ila kwa dunia ya sasa wachukue sample hyo kidogo wakapime waone.
Dunia ya saizi no free lunchWatanzania.
Mnawaza kudhuriwa dhuriwa tu.
Ndio kwa sababu hata km mm lazma nishtuke naona mtoto anakuja na dawa nyumbaniHaya maswali kuntu sana mkuu