Msuya atueleze aliko Sokoine

Yote hii ni kwa sababu ya mbio za urais. Sitaki kupinga madai kuhusu Msuya juu ya kifo cha Sokoine. Hata kama anahusika, hilo haliondoi hoja yake ya kumtosa mtembeza rushwa aliyebobea. Na kabla Msuya hajasema haya, mlikuwa wapi siku Zote kuhusu kifo cha Sokoine?
 
Mnakoment kwenye kutuhum????? Tuhuma????? huu ni uzushi wa team Lowasa kwa kauli ya mzee Msuya hivi majuzi
 
Mbona uko na akili kama za nguruwe?unasema alomuua sokoine huyu hapa halafu unataka tukusaidie.!!!!!nenda mirembe si bure

'' MTUHUMIWA '' utakuwa hujaliona neno hili katika maandiko yangu sio kosa lako
 
Historia inajirudia,walisema Salim ni mwarabu na ndiye aliyemuua Karume...... Ss kibao kimegeuka kwa msuya, walishazoea vya kunyonga na hii LAANA itawafuata popote pale.
 
Wanabodi,
Mwaka wa uchaguzi ndio huu. Wadau wameanza kufunguka . Tunaomba hints zaidi mwenye walau uelewaa
Kibanda tangu aanze kumtumikia Fisadi Lowasa akili yake imevurugika sijui ni kwa sababu ya kung'olea jicho
 

Nadhani You're Missing A Point Mkuu Kwani Aliyehusishwa Kuhusika Na Kudedi Kwa Moringe Siyo Huyo Na Ni Kama Vile Unamwonea au Una Lako Jambo. Kila Mtu Anajua Aliyehusishwa Haswa Ni Yule Aliyezikwa Kwake MADALE Mwenye Mtoto Wake Binti Idara Ya Habari na Maelezo Mwenye Jina La Mwanzo Linalofanana Cha Mchepuko Wa Mtani Wangu Ruge Binti Anayetangaza Cloud FM / Tv....a.k.a Mbaumbau!
 

Mkuu, lengo lao ni kufukia hoja aliyotoa Msuya kuhusu mgombea mtembeza rushwa bila aibu. Keshamnunua Kibanda. Kesho ataanza kusema anaandamwa kumbe njaa yake inamponza. Akumbuke wakishamtumia, atatupwa kama toilet paper. Nahisi fisasi mkuu kamuahidi cheo. Wengi wamepewa ahadi hizo!
 
Lowqsa anahangaika sana. Kwani miaka mingapi imepita tangu Sokoine afariki dunia kwa ajali ya gari? Hivi wanadhani madhambi aliyonayo Lowasa ya kuua na kutesa watu kila mtu anayo? Hivi Lowasa atakuwa na ujasiri gani wa kuwazushia wenzake kashfa za kuua watu ilhali yeye alimnyonyoa nywele na kumtoa unga ngozi Harrison Mwakyembe?
 
Inchi iko njiani bado haija fika inapokwenda. Tuwe wavumilivu, bado mengi yanakuja.
 
Kibanda ambae yupo kamati ya ufundi ya magazeti wa mvi kwenda ikulu yule aliekuwa tz daima ama kibanda yupi? yupo kazini hana lolote
 
Last edited by a moderator:

hivi ww uko kambi gani vile!!! wewe dogo una bahati huwa nikikutaja kwa ile ID yako nyingine huwa nalimwa bun!!!!.... Jaji Warioba alistahili Heshima zaidi.
 
Kibanda ambae yupo kamati ya ufundi ya magazeti wa mvi kwenda ikulu yule aliekuwa tz daima ama kibanda yupi? yupo kazini hana lolote

Nakuona Assenga Abubakar vipi matembezi yenu ya huko visiwani ? Mwalaa urojoo tu mida kama hii
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa wapi kipindi chote hadi leo au uchunguzi wake haukuwa umekamilika hadi asubiri kipindi hiki cha mvutano
Kama ni mjuzi wa mambo kweli namuomba ripoti ya kifo cha Chacha Wangwe.
 

We mbona una akili za nguruwe hapo tunamwona kibanda we unamtaja Lowasa.Upungufu wa akili huo
 
Alikuwa wapi kipindi chote hadi leo au uchunguzi wake haukuwa umekamilika hadi asubiri kipindi hiki cha mvutano
Kama ni mjuzi wa mambo kweli namuomba ripoti ya kifo cha Chacha Wangwe.

Hit at the right.place at the right time ndio siasa ya Bongo.
 
Alikuwa wapi kipindi chote hadi leo au uchunguzi wake haukuwa umekamilika hadi asubiri kipindi hiki cha mvutano
Kama ni mjuzi wa mambo kweli namuomba ripoti ya kifo cha Chacha Wangwe.
Anayo Yusuf Makamba.
 
Oktoba usije haraka tuone mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…