Msusruru wa Viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msusruru wa Viongozi

Discussion in 'Sports' started by JAYJAY, Sep 1, 2010.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  kuna gazeti moja nimesoma kuhusiana na safari ya T. Stars Algeria, limeandika msafara una wachezaji 20 na viongozi 8. hivi ni akina nani( vyeo vyao) ambao ndio hao viongozi 8? nadhani kuna umuhimu pia wa kupunguza msururu wa viongozi wengine ambao wanakuwa kama ''watalii'' tu na kupunguza gharama.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,322
  Trophy Points: 280
  Hilo ni kundi la watalii
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kocha mkuu, kocha msaidizi na kocha wa makipa, daktari wa timu, meneja wa timu, msemaji, kiongozi wa msafara kiongozi na kiongozi wa chama/timu...
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  JK alikwenda jamaica na msururu wa watu 70, nao wanafuata nyao za amiri jeshi mkuu.
   
Loading...