Msusi mzuri wa yeboyebo

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
416
Hello , natumai mu wazima, please naomba yeyote anaejua msusi mzuri sana wa yeboyebo kwa Dar es salaam naomba aniconnect nae.

Binafsi huwa ninasuka Jose saloon ya Mwenge, but kwa Sasa wapo likizo Hadi trh 11, lakini Mimi ninasafari kabla ya terehe hiyo, hivyo yoyote mwenye namba ya msusi wa yebo yeyote wa Josesaloon anisaidie tafadhali .
 
Ningekuwa DAR ningekusuka haswa hadi mumeo angekusahau bahati mbaya nipo Moshi namalizia ndafu na mbege.
Aikambe.!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…