Naomba kujuzwa sehemu ya kujifunza ufundi simu wa aina zote

Six Time

JF-Expert Member
Oct 17, 2019
209
140
Habarini wana JF natumai mu wazima.

Mimi nimwanafunzi wa chuo cha ufundi (Electrical eng) Nipo hapa kuomba kama kuna mtu anajua sehemu wanapo fundisha ufundi simu au fundi simu yeyote anaeweza nisaidia nipate ujuzi wa kutengeneza simu yeyote naomba anisaidie aje inbox kunipa mwongozo ila chakuzingatia awe Arusha chakuongezea nikwamba kwenye maswala ya electronics pia nimesoma nakwenye maintaimance badhi yavifaa najua.

Mungu awabariki kwa kusoma Uzi huu nayeyote atakae nisaidia kwanamna mbalimbali atabarikiwa
 
Habari wakuu,

Ningependa kujua ni wapi naweza kujifunza u fundi wa kutengeneza simu, nataka nijifunze both hardware and software. Je, kwa hapa Dar kuna chuo kinafundisha hii kozi au mpaka niwatafute ma fundi wabobezi nikajifunze kwao?

Naombeni msaada katika hili wadau
 
Hahahaha ufundi Simi Mpwa? Futa hilo Neno kwenye dictionary yako ya simu, seems unalitumia sana
 
Habari wakuu
Ningependa kujua ni wapi naweza kujifunza u fundi wa kutengeneza simu, nataka nijifunze both hardware and software
Je kwa hapa dar kuna chuo kinafundisha hii kozi au mpaka niwatafute ma fundi wabobezi nikajifunze kwao. Naombeni msaada katika hili wadau
Nenda veta kipawa, Muda wa kutuma maombi umeisha, pia tarehe 26/07/2020 katika ukumbi wa valentino hotel iliyopo kariakoo mtaa wa agrey na likoma kutakuwa na mkutano wa mafundi simu na wote wenye malengo ya kujifunza ufundi simu. Fika utapewa utaratibu wote.
 
Nenda veta kipawa, Muda wa kutuma maombi umeisha, pia tarehe 26/07/2020 katika ukumbi wa valentino hotel iliyopo kariakoo mtaa wa agrey na likoma kutakuwa na mkutano wa mafundi simu na wote wenye malengo ya kujifunza ufundi simu. Fika utapewa utaratibu wote.
nashukuru kwa ushauri wako mkuu nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom