Mtaka yote
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 136
- 103
TCRA wako sahihisheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.
Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
Ni sikio la kufa tu alisikii dawa,Marekani juzi kwenye mdahalo wagombea wa repablican walimponda sana obama na sera za democratic na ilikuwa live kwenye fox tv na nbc
,Mamlaka ya mawasiliano Tanzania chini ya mwongozo kwa vyombo vya habari,inasema vyombo vya habari havitaruhusiwa kutangaza tafiti za kukubalika ama kutokubalika kwa vyama ama wagombea zikibaki siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura!hivyo Kutoa matokeo ya utafiti wa nani anaongoza kuelekea uchaguzi mkuu,mwisho trh 25.9.2015 ,na hata zile tafiti zitakazotolewa kama waliohojiwa hawazidi 1000,chombo kinatakiwa kusema waliohojiwa ni chini ya watu 1000,sheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.
Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
Ikiwa hii imetoka TCRA inanishangaza kwa sababu najua TCRA they are professional and above this! Kwanza ulivyotafasiri Anti hate law si sahihi, unawexza kuongelea upande wako tu lakini kauli yako ikawa chonganishi kweli kweli kuliko anayesema mambo ya mtu mwingine. katika siasa za ushindani unawezaje kuongelea uzuri wako bila kuonyesha ubaya wa mshindani wako? halafu hilo la kutoa matokeo ya tafiti nalo ni la ajabu, wenzetu hutoa matokeo ya tafiti mpaka siku kura zinapigwa!! Ni nini kinaogopwa hapa mbona 2005, 2010 tulikuwa tunawekewa matokeo ya tafiti ambazo wengi tulijuwa zilikuwa zimepikwa, labda watueleze?TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.
Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.
Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
Ikiwa hii imetoka TCRA inanishangaza kwa sababu najua TCRA they are professional and above this! Kwanza ulivyotafasiri Anti hate law si sahihi, unawexza kuongelea upande wako tu lakini kauli yako ikawa chonganishi kweli kweli kuliko anayesema mambo ya mtu mwingine. katika siasa za ushindani unawezaje kuongelea uzuri wako bila kuonyesha ubaya wa mshindani wako? halafu hilo la kutoa matokeo ya tafiti nalo ni la ajabu, wenzetu hutoa matokeo ya tafiti mpaka siku kura zinapigwa!! Ni nini kinaogopwa hapa mbona 2005, 2010 tulikuwa tunawekewa matokeo ya tafiti ambazo wengi tulijuwa zilikuwa zimepikwa, labda watueleze?