Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
MSUKUMA ADAI WABUNGE WALIENDA KWA WAGANGA WAKATI WA UCHAGUZI
Mbunge wa Geita Vijijini(CCM), Joseph Kasheku 'Msukuma' amesema ni wabunge wawili au watatu ambao tu ndiyo ambao hawakupita kwa waganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi.
Msukuma aliyekuwa anauliza swali la nyongeza bungeni, amesema wabunge wamekuwa na tabia ya kuwatetea wasanii waliowasaidia kwenye uchaguzi, lakini ukifika kwa waganga wa kienyeji wanakaa kimya wanapopata matatizo