..............Inauma sana!.................umewaza nini leo?
Ya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?Inashangaza sana mtu mliachana tena maybe yeye ndo alikuacha anaanza kukwambia mtoke aunt ooh mama mgonjwa so what over is over usidanganyike ndugu
Ex-wako ana ku distract na midnite calls akilia, au kalazwa, kapata ajali, kaingiliwa na majambazi, kasimamishwa kazi, almuradi he/she wants to keep you on your toes!...kwa wale wazazi, utasikia 'haraka njoo, mtoto anaumwa!'...ukifika unakuta mtoto anacheza...
Tujadiliane Ex- wife/husband/partner anapoendesha hisia zako atakavyo; -Swahili Slang- 'kuwekwa kidoleni,' 'kushikwa pembe,' 'kuwekwa mkononi,' etc na athari zake, kwa muda mfupi na muda mrefu.
....lets share the experiences za "Msukule wa Mapenzi"[/FONT]
sasa utakuwa unaweka ukaribu ambao hautakiwi.kila mtu awe na maisha yake kwa amani mkutane kwa bahati mbaya sio kutafutana bila sababu huko ni kuumizana feelingsya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?
Ya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?
Ya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?
ya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?
mimi hata afe yeye siendi i hate him so very muchinategemea mliachanaje, wengine tuliachwa vibaya sana na kupitia maumivu makali kiac kwamba niliweka uadui but kwa hii call yake ya leo mama mgonjwa sana nimepata imani kidogo.....
Jibu la mama lilikuwa ni jibu la post. Na. 9 Jibu la Post ya Mbu nimejibu Post Na. 4VOR hapa hatuzungumzii kuhusu mama yake kuumwa ni ile issue kuwa your Ex anataka apate attention kubw akutoka kwako. Yaani hata kama issue ni ndogo anatakla uipe kipaumbele na kuijali. Maana kukupigia simu au kukuomba umpigie au kukupigia simu usiku just tuu asikie sauti yako wakati anajua kuwa mshaachana hiyo sio kabisa
Inategemea mmeachana vipi, Je kama wewe ndio ulimwacha kwa kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa je utamchukia?mimi hata afe yeye siendi i hate him so very much
Jibu la mama lilikuwa ni jibu la post. Na. 9 Jibu la Post ya Mbu nimejibu Post Na. 4
Kila scenario itakuwa na solution yake, mtu kama ni msumbufu basi nikiwa sipokei simu zake au kutokuitikia wito asinilaumu.., lakini kutokuwa lovers haimaanishi kwamba friendship au ubinadamu unakwisha.., nitaendelea kumtreat kama binadamu mwenzangu na rafiki..., haya mambo ya attention seeking ni tabia ya mtu..., mbona kuna marafiki tu wakawaida wanakuwa wasumbufu kwahiyo ni kumchukulia mtu kama alivyo na penye uwezo unatoa msaada pasipo uwezo basi atanisamehe.., na mambo ya simu usiku tamwambia unless its really necessary asipige sababu anaweza kuharibu relationship yangu au kupelekea wivu kwa mwenza wangu
sikumtema mimi na kumrudia siwezi na urafiki sitaki wala mazoea kama ni simu itaita itakaTa sms sijibu namjengea tu chuki moyoniinategemea mmeachana vipi, je kama wewe ndio ulimwacha kwa kutema big g kwa karanga za kuonjeshwa je utamchukia?
Kama ni kweli anashida na unaweza kumpa msaada anytime unamsaidia huo ndio ubinadamu...
Kama ni muongo anasingizia jambo ambalo halijatokea siku akipiga simu usipopokea au akikuita usipoenda (asije kulaumu) Kumbuka hadithi ya the Boy who cried Wolf.... Inshort nitatoa msaada wangu kwa EX within reasons na with limit...
Na kama EX hana busara basi asitegemee nitamtreat kwa busara..