Msuaki

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
Hivi inakuwaje mtu anatumia msuaki hadi unafika hali hii bla kubadili ...

Je msuaki unatakiwa utumie kwa muda gani ? au mpaka uishe..



 
Daktari anasema ubadili mswaki kila miezi 3 au kabla kama mswaki umefifia rangi au kuharibika mwelekeo kwa kuchomoza nje.
 
Ile ya gharama inafaa kutumia miezi 3. lakini hii ambayo ukitumia unaanza kusambaratika bora ubadilishe kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…