Kwa kweli sijauliza, lakini ni steak safi sana, labda kuliko zote mjini kwa sasa. Wapishi wa kwao.
mkuu utapata minyoo
hivyo vitunguu vibichi hivyo looh
alafu red meet sio nzuri
lol nimetamani
watu wengine bwana!!
Unanichanganya sista. Mara nitapata minyoo, hapo hapo unatamani. Amua basi.
Hii sio red meat bana, imetengenezwa well done na inaenda vizuri na ndugu yake mvinyo mwekundu. Full starehe na kama kifo, tufe tu.