Msongola: Watu 4 wamechomwa moto na mabox ya kura

Status
Not open for further replies.

puppa

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
379
176
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa watu 4 wamekamatwa na kuchomwa moto wakiusishwa na tuhuma za wizi kupatikana na mabox ya kura, tukio hilo limetokea kijiji cha msongola nje kidogo ya Mbagala.

Nasubiria nitumiwe picha then ni ziupload hapa.

======
UPDATE:

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi na NEC, hakuna kitu kama hiki maeneo ya Msongola.

Mjadala umefungwa
 
kwa taarifa nilizo zipata hivi punde ni kuwa watu 4 wamekamatwa na kuchomwa moto wakiusishwa na tuhuma za wizi kupatikana na mabox ya kura, tukio ilo limetokea kijiji cha msongola nje kidogo ya mbagala.
nasubiria nitumiwe picha then ni ziupload hapa.
puppa hii ni hatari sana. Hivi kweli huu Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa huru na haki?
 
Last edited by a moderator:
Sasa si ungesubiri upate kwanza uthibitisho kabla ya kukumbilia hapa na tetesi
 
Hao wa mbagala ndio wamefanya la maana sio mnaishia kuwatoa manundu tu
 
watu wanazusha tu na picha zao za zamani...

ila ukweli siku zote hujutenga na uongo... tutajua tu...

walizusha Mwamu kafa( leo kaonekana) sembuse hili
 
Lol hawa ndo wamenifurahisha kuwarestsha in peace wahujumu ukombozi ila wasije kuwa wamewachoma wasimamizi jaman lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom