Ado Shaibu
Member
- Jul 3, 2010
- 99
- 111
Neno utabiri limekosa maana kabisa kama kufa kwa CUF nako kunatabiriwa sasa! Unatabiri kitu ambacho tayari kimetokea? Huenda huyo msomi anaigiza!Hata hii inahitaji utabiri ! Tuache masihara hata asiye kwenda shule anakukwambia nini kifuatacho
Tena anaona fahari kubwa sanaBadala ya kupambana na ccm unapambana na mpinzani mwenzako!
Kwani cuf ni wapinzani?Badala ya kupambana na ccm unapambana na mpinzani mwenzako!
Sio rahisi CUF kufa huyu msomi kachemka .CUF haijui kabisa .CUF iliyokuwepo wakati Maalim Seif Yupo CUF ilikuwa Ni ya Makundi mawili ya Wapemba na waafrika ngozi nyeusi wa Zanzibar na bara kiongozi wao ndani alikuwa Profesa Lipumba.
Vita ndani ya CUF ilikuwa Kati ya Watoto wa sultani akina Maalim Seif na Wapemba wenzie na waafrika watoto wa Mzee karume wakiongozwa na mtoto wa Mzee Karume Ibrahim Lipumba.Kama Mzee Karume alivyomvurumisha Sultani ndivyo Lipumba alivyomvurumisha Maalimu Seif.
Mapinduzi ya 1964 yalijirudia.Sasa hivi CUF Ina waafrika weusi wa bara na Zanzibar.Haifi ng'ooo.Huyu msomi namshangaa Sana ana uelewa finyu Tena mdogo mno hiyo PhD yake alipataje?
Hivi hajui kabisa kuwa Stone town Ni eneo wanaishi Wapemba? Ameshindwa kulijua hata Jambo dogo Kama hilo
Japo kwamba ukweli huutaki lakini bakia tu kuubali.Sio rahisi CUF kufa huyu msomi kachemka .CUF haijui kabisa .CUF iliyokuwepo wakati Maalim Seif Yupo CUF ilikuwa Ni ya Makundi mawili ya Wapemba na waafrika ngozi nyeusi wa Zanzibar na bara kiongozi wao ndani alikuwa Profesa Lipumba.