Msomi UDSM atabiri kifo cha CUF 2020

Ado huu sio utabiri
Huu ni ukweli na kila mtz anajua
CUF mwisho wake ni November,2020

CUF 2020 hakitakuwa na mbunge hata mmoja kutoka Tanzania Bara wala Zanzibar!! It is just obvious!! Someni alama za nyakati. ACT-Wazalendo kitapata wabunge wachache kutoka Zanzibar tu ila kutoka Tanzania Bara ni zero yaani hawapati kiti hata kimoja cha ubunge - vyote ni vya CCM.
 
Back
Top Bottom