Msomi na mwanazuoni

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
Habari wanajf naomba mnisaidie tofauti kati ya msomi na mwanazuni na ili mtu aitwe msomi au mwanazuoni anatakiwa awe na elimu kiasi gani?
 
Wanazuoni ni mashekhe wa kiislamu au mtu mwenye elimu ya doctorate(dr) au professor(wakufunzi wa elimu) msomi ni mtu yeyote aliyesoma na kubobea katika fani fulani(wengi huchukulia kuanzia first degree).
 
asante kwa kunielewesha
 
Msomi ni mtaalamu katika tawi kutokana na maarifa yake. Msomi ni mtu aliyejifunza, ambaye anajua taaluma fulani ya kusoma vizuri sana; mtu ambaye ana ujuzi mkubwa na ana utafiti wa kina katika shamba.ili Kuwa mwanazuoni mkubwa unapaswa kufanya utafiti wa kina na siyo tu kufanya utafiti bali ni jinsi unavyoufanya utafiti wako Na Msomi ni mtu ambaye amebobea kwenye secta flani au ni mtu anayejua vitu vingi sana..msomi ni mtu anayependa kujua vitu vingi au kuvuka mipaka yake ya uelewa na kutaka kujua zaidi Kuwa msomi au mwanazuoni sio lazima uwe umechukua degree ya kwanza,ila ni hata kujua vitu vingi sana mfano mazingira,mahusiano na kujua mwanzo na mwisho wa hadithi mbalimbali
 
Back
Top Bottom