Msomi na mvuvi

Mussa kiraka

Senior Member
Mar 4, 2012
106
13
Msomi alikua anataka kuvuka mto kwa mtumbwi maongezi yao yalikua hivi-
Msomi-ndugu umesoma mpaka darasa la ngapi?
Mvushaji- darasa la 7
Msomi- umepoteza asilimia 20 ya maisha yako.
Msomi-umeshawahi kupanda ndege?
Mvushaji- hapana!
Msomi-umepoteza asilimia15 ya maisha yako.
kufika katikati ya safari mvushaj nae akauliza swali
Mvushaji-unajua kuogelea?
Msomi-hapana! sijui
Mvushaji- (kwa hasira) kum****ko umepoteza asilimia 100 ya maisha yako.
Akaupindua mtumbwi
 
Back
Top Bottom