Msomaji habari amekosea

Msomaji habari amekosea

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
14,694
Reaction score
7,912
Msomaji habari,wa saa moja leo tarehe 5 june 2014 KITUO CHA TV,alikosea jina la mtaa wa TURDOR(inatamkwa CHUDA),mtaa huu uko Mombasa ,Kenya,hili ni neno la Kijerumani,linatamkwa CHUDA,SIO turdor kama lilivyoandikwa.
 
Msomaji habari,wa saa moja leo tarehe 5 june 2014 KITUO CHA TV,alikosea jina la mtaa wa TURDO(inatamkwa CHUDA),mtaa huu uko Mombasa ,Kenya,hili ni neno la Kijerumani,linatamkwa CHUDA,SIO turdo kama lilivyoandika.

Kwani na yeye anajua kijerumani?
 
Hivi hili nalo unataka lijadiliwe hapa Jamvini,.


Mkuu Invisible futa hii,...
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio umechemka hiyo inatamkwa kama ilivyo na si chuda kwahyo na tirdo iitwe chida??
 
Wewe mwenyewe hujui tofauti ya kukosea na kukosea kutamka. Kwa maelezo yako hapo amekosea kutamka ila amesoma kama ilivyoandikwa.
 
Imbecility!A person incapable of mistake is incapable of anything!
 
Msomaji habari,wa saa moja leo tarehe 5 june 2014 KITUO CHA TV,alikosea jina la mtaa wa TURDOR(inatamkwa CHUDA),mtaa huu uko Mombasa ,Kenya,hili ni neno la Kijerumani,linatamkwa CHUDA,SIO turdor kama lilivyoandikwa.

Deutsche Welle= Doche Velle
Volks Wagen= Voksi Vageni, hao ndo Wajerumani! Full lugha gongana!
 
Kwa kweli hata ma'publishers' wetu wa magazeti,vitabu n.k wanachangia kuharibu ufasaha wa mawasiliano na maana kwa matamshi(kuongea),kusikiliza,kusoma na kuandika.
 
Kwa kweli hata ma'publishers' wetu wa magazeti,vitabu n.k wanachangia kuharibu ufasaha wa mawasiliano na maana kwa matamshi(kuongea),kusikiliza,kusoma na kuandika.
Ni kweli kabisa,vyombo vya habari vinatakiwa viwe makini,katika kuwasilisha habari,kwenye matamshi ya majina ya watu,nchi,miji,vijiji,mitaa.Kama jina au neno hujui linatamkwa vipi,
bora kuuliza wahusika,kama Jina KARIMJEE(linatamkwa Karimjii sio kama lilivyoandikwa),lakini watangazaji wengi wanalitamka kama lililovyoandikwa.Hili ni jina la kihindi,kama Karimjee Hall,Karimjee secondary(sasa Usagara Secondary School).
 
Back
Top Bottom