MSNBC, AL-JAZEERA na BBC zimeondolea kwenye Star times? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSNBC, AL-JAZEERA na BBC zimeondolea kwenye Star times?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Uswe, Oct 20, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama siku mbili tatu sasa naona MSNBC, AL-JAZEERA na BBC hazipatikani kwenye king'amuzi cha startimes, hawa wachina hata hawaeleki!
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mbona mimi nazipata mkuu?! Ambayo haionekani ni etv lakini hizo zote ulizotaja zipo hewani.

  Tuombe Mungu warudishe ITV, Startv na Eatv, kinga'amuzi kitakuwa cha maana sana kuliko sasa.
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ngoja ni-Search tena, nikikosa itabidi niwapigie customer service, maana Jumatatu ni Romney VS Obama, na sina mpango wa kukosa :)
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mi nina mwezi wa tatu sasa hata sijakiwasha..wanaboa sana hawa wachina, wakiona kuna program nzuri channel fulan, hawachelewi kuiondoa.
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mi wakinirejeshe tu hizo tatu, wakaongeza ITV, Channel 10 na Startv, hata wakiondoa nyingine zote including TBC 1 and 2 na Clouds hamna shida!
   
Loading...