zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Wadau wa soccer maarufu mpira wa miguu, wanawajua wachezaji hatar watatu kwa sasa dunian wa timu ya Barcelona. Muunganiko huu ni hatar sana; Mesi, Squarez na Neymer.
East Africa ni Musevein, Shein na Nkuruzinza. Nawatakia maandaliz mema ya pasaka
East Africa ni Musevein, Shein na Nkuruzinza. Nawatakia maandaliz mema ya pasaka