Msiwanyime wake zenu unyumba

Msiwanyime wake zenu unyumba

Mtu-Pori

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
1,308
Reaction score
1,514
Wiki kadhaa zilizopita baada ya Arsenal kupigwa na Chelsea, akina dada walilalamika kuwa waume zao hutoka na stress za mpira hadi nyumbani, halafu wanawanyima........kuna hatihati leo wakanyimwa pia. Tukumbushane tu jamani, ya mpira yabaki mpirani. Wapeni haki yao.
 
na watanyimwa tu maana leo arsenal wamepigwa kimoja kama cha nguruwe ndio wanyimwe tu maana tumeshachoka.
 
Kama walipigwa na Cheshi tu wakawanyima na Man U mbona watawanyima Wiki yote hii.
 
Mie na mama watoto wangu ni fans wa Man utd,leo kwa raha zetu!
 
Kinyume chake mie wife wangu , ndy kaninyima jana uhausi , kwani ni mpenzi mzuri wa Asenali .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom