Chondechonde, kwa wale wanaowakataa watoto wao wakiwa tumboni au baada ya kuzaliwa hasa wanaume. Jamani mnawapa shida watoto wenu.
Roho za kukataliwa zinawatesa sana. Hata ukijamkubali baadae kwamba ni mtoto wako, wewe mwenyewe(mzazi) utaona kama hakujali, hakuheshimu(mtoto) vile.
Kumbe sivyo ni ile roho inakutesa mzazi. Kwa hiyo kama uko responsible na ujauzito wewe kubali kulea kwani hukujua matokeo yake?
Usimkane mtoto hata kidogo ni mbaya sana.