My Pope, hapana, lazima tuwatenge kuwaonyesha kuwa wanachokifanya si kizuri, jamii haikitaki!
Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka ya kuwahukumu.
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa kama vile wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
nashauri pia waache kukemea dhambi nyingine ili mungu mwenyewe afanye yake.Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
Well, sasa mbona wanatuungamisha (kuungama kwa wakatoliki) na kutupa adhabu, si wanatuhukumu? Kwa nini wasihukumu na hili la jinsia moja?Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
wazungu katika harakati za kutaka dunia kukubali ushoga,inasikitisha sana hasa kiongoz kama huyu akiongea maneno kama haya
yaani inahuzunisha sana kiongoz wa dini kama huyu kuongea maneno kama hayo sijui dunia inaelekea wapiKama kweli amezungumza maneno hayo, ninawahuzunikia Wakatoliki wa Dunia nzima kwa ujumla wao.
amesimama kwenye misingi ya kidin kutetea mapenzi ya jinsia moja??au mimi sijaelewa?hivi kuna dini inayo support hii kitu??nieleweshe tafadhalUjue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????
Hata Cameroon alijigamba kuwa katika maendleo yaliyopatikana wakati wa utawala wake ni kuruhusu ndoa za wapendanao wa jinsia moja!! shit!! Hapa na Huyu Mnyama anakuja na hilo!! inabii unazidi kutuimia
Kanisa linageuka kijiwe
My Pope, hapana, lazima tuwatenge kuwaonyesha kuwa wanachokifanya si kizuri, jamii haikitaki!
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?