Msituni

Msituni

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
!!!.jpg
 
The art of creation! naziheshimu sana hizi kazi
 
The Geography:Hii ni sehemu yenye baridi na mvua nyingi.
The History: Hii sanamu ilianguka/angushwa na kuachwa hapo chini.Kwa sababu ya unyevunyevu mwingi ukungu(moss) ukaota. And that is the end of the story.

Hapo nmeelewa vzur!
 
Hebu fikiria usiku unatembea msituni huku ukiwa unamulika tochi yako ghafla unakutana na sanaa kama hiyo ukiwa umemmulika usoni, si unaweza ukapiga mayowe "jamani nakufa"
 
Hebu fikiria usiku unatembea msituni huku ukiwa unamulika tochi yako ghafla unakutana na sanaa kama hiyo ukiwa umemmulika usoni, si unaweza ukapiga mayowe "jamani nakufa"

Mpaka upate nafasi hiyo ya kupiga mayowe, maana unaweza ukajikuta
ukizirai bila hata kutoa sauti, na pengine kufa kwa presha...
 
Back
Top Bottom